• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Friday, October 19, 2012

KIM KARDASHIAN AJIPONDA KWENYE BLOG YAKE MWENYEWE

No comments:
 

Wakati watu wengi Maharufu kote ulimwenguni husifia sana mavazi yao,hata kama huwa hayawapendezi,ila imekuwa tofauti kwa mwanamitindo Kim Kardashian,ambaye ameponda vazi lake ambalo alivaa akiwa katika mahojiano na Television moja ya huko Miami..ambapo alikuwa akihojiwa kuhusu muendelezo wa Tamthilia  yake inayojulikana kama Kardashian Family ,katika mahojiano hayo alisikika akisema nilitaka kuwa  tofauti kidogo nilipotoka nikagundua Jacket lilikuwa kubwa na halikunikaa vizuri kwa kweli  sikupendeza kabisaa,na nilipogundua sikutaka watu waanze kusema ila nimeamua kuzungumzia hilo na tayari nimeandika kwenye blog yangu....Je nikweli hakupendeza?

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ