• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Saturday, October 6, 2012

KITABU CHA HARAKATI ZA DKT JAKAYA KIKWETE KATIKA KUMUENZI MWL JK NYERERE CHAZINDULIWA RASMI LEO MKOANI DODOMA.

1 comment:
 

 Mwanaharakati Novatus Mutoka kutoka Mkoani Dodoma akiongea na waandishi wa habari (hawapo picha) leo mkoani Dodoma wakati akitambulisha kitabu chake kinachoitwa “HARAKATI ZA DKT JAKAYA KIKWETE KATIKA KUMUENZI MWL JK NYERERE” ambapo pia alielezea lengo la yeye kuandika kitabu hiko mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani)
Mwanaharakati Novatus Mutoka akionyesha kitabu alichoandika yeye kinachoitwa “HARAKATI ZA DKT JAKAYA KIKWETE KATIKA KUMUENZI MWL JK NYERERE” mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo ofisini kwake mkoani Dodoma
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ