Haya ni Majanga!!
Kwa moto huu hata Fire wangekuja wangechemsha!!!!...Walikuja baada ya Jengo zima kuteketea...Hii ni barabara ya Hananasifu ukiwa unatokea Studio unaelekea Club E.M Stereo....
Nilisimama maeneo ya Ofisini kwangu nikichukua picha hizi....Angalia jinsi kibanda cha pembeni kinavyoteketea.....
No comments:
Post a Comment