Jay Maswagger naweza kusema huyu ni mrithi wa style ya Marehemu Sharo Millionea,...kwa uzoefu wa kazi yangu,nina Imani wadau na watanzania mtampokea vizuri kwasababu ni msanii anayejituma,na anaipenda kazi yake.....
"Ukimya wangu wa muda mrefu umezaa matunda haya......."Alisema MANAGER MANENO.
Manager Maneno kwa sasa ni mmoja wa wamiliki wa Kampuni ya THE EMP ENTERTAINMENT.Hii ni kampuni inayosimamia kazi za wasanii Tanzania,Kuandaa Events Mbalimbali,na mengine mengi yanayohitaji PROMOTION.
HII NI KAZI MOJAWAPO YA JAY MASWAGGER HAPO CHINI!!!
(YOTE MAPENZI)
(YOTE MAPENZI)






No comments:
Post a Comment