BIO
Home
NEW MUSIC DOWNLOAD
NEW VIDEOZ
NEWS
GOSSIP
MATANGAZO
skip to main
|
skip to sidebar
ALLSTARTZ
Thursday, November 21, 2013
IMEKUWA VIGUMU TENA JUU YA KESI YA BABU SEYA NA MTOTOWAKE PAPII KOCHA 21/11/2013
Posted by
GREGORY KADENDULA
at
12:41:00 PM
No comments:
Labels:
NEWS
Ile hukumu ya rufaa ya mwanamuziki
Nguza Viking
na mwanaye
Johnson Nguza 'Papii Kocha' i
mewarejesha jela maisha baada ya hoja za Wanasheria wa serikali za kukazia hukumu kuzidi zile za upande wa utetezi.
Babu Seya
na
Papii Kocha
walihukumiwa kifungo cha maisha jela mwaka 2004 baada ya kupatikana na hatia ya kuwanajisi watoto wa Shule ya Msingi, Mashujaa, Sinza jijini Dar es salaam ambapo wamekuwa wakikata rufaa mara kwa mara lakini wakagonga mwamba. Hukumu hii ya rufaa ndiyo ya mwisho kusikilizwa.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
About Me
GREGORY KADENDULA
View my complete profile
Search in This Site
NOW TRENDING!!!
POPULAR TRENDS!!!
NEW VIDEO....STORM ft.NAY WAMITEGO - ALISHUKA
NEW VIDEO:CASSIM MGANGA ft.AKILI THE BRAIN - MAJERAHA
NEW TRACK.......T.I.D ft.NGWEAR - KIUNO
AINEA ft SHETA - SOME BODY
MIRROR - ONE AND ONLY
Chriss B Ft Dullayo - Tamaa gani (Official Video)
(no title)
JUMA JAZZ ft MIRROR - NAMBA (Official Video)
Boy Kitila ft.Barnaba - Fungua Moyo (OFFICIAL VIDEO)
Nandy - Wasikudanganye (Official Audio)
.
.
.
.
.
No comments:
Post a Comment