• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Sunday, December 1, 2013

Emmanuel Msuya Aibuka Mshindi wa Epiq Bongo Star Search

No comments:
 
bss2013Aliyeshika nafasi ya pili ni elizabeth mwakijambile akifuatiwa na maina thadei.washiriki wote usiku wa jana waliliteka stage kwa nguvu zote.watu wengi sema hawakupendezwa na kukosekana kwa judge salama ambaye nafasi yake ilichukuliwa na muimbaji banana zorro ambaye alionekana yuko tungi tokea mwanzo wa mashindano.emmanuel msuyaNi mashindano yaliyokua yamejaa ushindani mkubwa sana kwa mwaka huu hasa kwa upande wa kina dada baada ya wanne kati ya 5 kufanikiwa kuingia katika top 5 lakini hiyo hakuhakikishia kwamba ushindi utabaki kwao kwani emmanuel msuya alifanikiwa kuwabwaga wote usiku wa kuamkia leo pale escape one na kitwaa taji la mshindi wa EBSS kwa mwaka huu, taji ambalo lilikua linashikiliwa na walter chilambo.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ