• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Sunday, December 1, 2013

STEVE RnB AMVISHA PETE MCHUMBA WAKE

No comments:
 
steve rnb engaged 2Ni jambo la kawaida kwa wasanii wa bongoflava hasa wakubwa kama steve RnB kutembea na kila demu mzuri hapa bongo,lakini kwa steve ni tofauti kabisa kwani amefanikiwa kumvisha pete ya uchumba wake wa high school,sweetheart wake wa kitambo kile....

Rumours has it,kwamba Steve RnB na huyu mrembo wametoka mbali na wamekuwa wapenzi wa muda mrefu hadi wameshawahi kufukuzwa shule pamoja.tunamtakia Steve RnB safari njema ya kuelekea katika ndoa.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ