• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Sunday, September 7, 2014

NEW TENDER : DAR MULTITECH ZONE v/s TANZANIA HARBOUR AUTHORITY through INTEL IMAGE.....

No comments:
 
Hii ni System inayotumiwa na Department ya FIRE katika Bandari ya Dar Es Salaam kwa Matangazo ya Kawaida, na Emergency Information.Ni system ya Wireless inayorusha kiasi cha kilomita 3 za Bandari,na watu wote waliopo eneo la kilomita tatu watapata taarifa kwa wakati mmoja.Hakuna wire hata mmoja uliopita angani lakini Speaker zote zinalia kwa wakati mmoja.Ahsante Mungu kwa Tender Hii katika kampuni yangu ya DAR MULTITECH ZONE ni kazi kubwa kuliko zote ambazo kampuni imefanya ikiwa ina Challenge kubwa ya Technologia ya Kisasa iliyoanzishwa Duniani,Na ni system ya Kwanza kufungwa Tanzania na Dunia kwa Ujumla.System hii imetengenezwa na Kampuni ya KoonTech nchini China.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ