• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Thursday, May 5, 2016

Zikiwa zimebaki wiki mbili afikishe miaka 50,Janet Jackson atangaza kuwa na ujauzito,ni mtoto wa kwanza kwake.

No comments:
 
Pop staa Janet Jackson anategemea kupata mtoto wake wa kwanza baada ya kukatisha ziara yake ya show kutokana na ujauzito.
Taarifa hizi nzuri zimekuja wiki mbili kabla staa huyu hajafikisha miaka 50 kwa sasa anamiaka 49 na atakuwa na 50 mnamo May 16 2016.
Janet ameolewa na Wissam Al Mana ’41’ mwaka 2012 kwneye harusi ya siri na hawakuthibitisha taarifa hizi mpaka mwaka 2013.
Mwaka 2008 wakati Janet alikuwa na mpenzi wake Jermaine Dupri, aliulizwa kuhusu watoto na alijibu “Napenda kuwa na watoto ila pia nataka kuasili mtoto”
Hivi karibuni atatoa video mpya ya “Dammn Baby,” kutoka kwenye album ya mwaka 2015 Unbreakable

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ