Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen amebaini tafsiri ya njaa kwa wananchi wa mkoani kwake baada ya kufanya ziara katika masoko na maghala ya wafanyabiashara wa nafaka na kupata maoni ya wananchi na kubaini kuwa njaa inayozungumzwa ni njaa ya pesa na si chakula.
No comments:
Post a Comment