Serikali imetangaza kumfungia miezi 6 Msanii wa filamu na muziki, Suzan Michael maarufu Pretty Kind kwa kuweka picha za utupu katika mitandao ya kijamii
–
Msanii Gigy Money atakiwa kufika Ofisini kwa Naibu Waziri wa Habari baada ya kukaidi ujumbe aliotumiwa
–
Pia Mwanadada Jane Rimoy maarufu kwa jina la Sanchi ametakiwa kufika ofisini kwa Naibu Waziri huyo mara moja kutokana na kuchapisha mitandaoni picha zisizo na maadili
Source:the choice

No comments:
Post a Comment