Balozi
wa Tanzania nchini Japan Mhe. Salome Sijaona akimkaribisha rasmi Waziri
wa Fedha pamoja na ujumbe kutoka Tanzania kwa chakula cha usiku
alichowaandia. kutoka kulia ni Mhe. William Mgimwa Waziri wa Fedha
akifuatiwa na Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe. Omary Yusuph Mzee akifuatiwa
na Bw.Selivicius Likwilile Naibu Katibu Mkuu Wizara na Fedha na
wengineo ni viongozi waliohudhuria hafla hiyo Jijini Tokyo – Japan.
Waziri
wa Fedha Mhe. William Mgimwa akimshukuru Mhe. Balozi Salome Sijaona
pamoja na mume wake Mzee Sijaona (aliye upande wa kulia kwa Mhe. Balozi
Salome Sijaona) kwa mwaliko wa chakula cha usiku.
Wajumbe
wa mkutano wa IMF na WB wakimsikiliza Balozi wa Tanzania nchini Japan
Mhe. Salome Sijaona alipokuwa anatoa historia fupi ya ubalozi wa
Tanzania.
Wajumbe
wa mkutano wa IMF na WB wakimsikiliza Balozi wa Tanzania nchini Japan
Mhe. Salome Sijaona alipokuwa anatoa historia fupi ya ubalozi wa
Tanzania.
Balozi
wa Tanzania nchini Japan Mhe. Salome Sijaona akimwelezea Waziri wa
Fedha Mhe William Mgimwa mambo muhimu ambayo yanapaswa kufanyika katika
Balozi zetu.
Afisa wa ubalozi Bi Agnes akiwakaribisha wageni chakula cha usiku hapo ubalozini jijini Tokyo Japan.
Wajumbe kutoka Tanzania wakishiriki chakula cha jioni pamoja na Balozi Mhe. Salome sijaona.
No comments:
Post a Comment