• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Wednesday, October 17, 2012

TYGA WA YMCMB APATA MTOTO WA KIUME

No comments:
 

Tyga ni moja kati ya wasanii wanaotokea pande zile za state katika kundi moja hivi linalofanya vizuri katika game la muziki nchini marekani linakwenda kwa jina la YMCMB.Sasa habari ambayo tumeipata kuhusu msanii huyu ni kwamba yeye pamoja na mkewe Blac Chyna wamefanikiwa leo kwa kupata mtoto wa kiume na kumpa jina la King Cairo Stevenson.Sisi kama watu wa media tunampa ongera kwa kupata mtotona tunamtakia malezi bora.

Check out Tyga akiwa Hospital baada ya kupata mtoto wa kiume.






No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ