Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Prof. Anna K. Tibaijuka akitoa Mada kwenye Semina ya Bunge la Sweden kuhusu " THE CHALLENGE TODAY FOR WOMEN IN TANZANIA : THE CASE FOR WOMEN EMPOWERMENT MINISTRIES IN AFRICA" jana tarehe 25 Octoba, 2012 Mh. Tibaijuka alitoa mada hiyo kwenye semina ya kumbukumbu ya miaka 100 ya Barbro Johansson, Mama wa Kiswidi aliyekuja Tanzania mwaka 1946 kama mmisionari na kuanzisha shule ya mfano ya wasichana Luguruni Estate, wadi ya Kibamba Wilaya ya Kinondoni , Dar Es Salaam
Friday, October 26, 2012
Profesa Tibaijuka atoa mada katika bunge la sweden
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment