Mkurugenzi wa Benchmark Production, Rita Paulsen aka Madam Rita amesema mwaka huu BSS itakuwa na Guest Judge ambae atakuja kama Surprise.....
Tuvute subira tuone ni nani na atafanya mapinduzi gani katika judgement ya mwaka huu tofauti na miaka mingine.
No comments:
Post a Comment