• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Thursday, July 2, 2015

Licha ya kutokuwepo katika kundi la G-UNIT,"THE GAME" asema bado anatumia pesa na Utajiri alioupata G-UNIT

No comments:
 
The Game
Wakati kundi la G-UNIT lilipoungana tena mwaka jana 2014,Game aliachwa bila kujiunga nao.Ingawaje aliachia album yake ya kwanza "THE DOCUMENTARY"na studio/Label ya 50 CENT.Ni miaka kumi sasa toka kundi hili litengane na sasa wameamua kuweka mbali tofauti zao.
Ukimfuatilia The Game anasema anauwezo wa kupata dolar milioni 30 kutokana na MAPATO ya KAMPUNI YA G-UNIT.
ALBUM yake ya kwanza "THE DOCUMENTARY"iliuza zaidi ya copy MILIONI MBILI(2)toka ilipotolewa mwaka 2005.na anategemea kuachia album yake ya pili "THE DOCUMENTARY 2"kupitia EONLINE.
Angalia Video aliyozungumzia haya yote:-

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ