• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Thursday, July 9, 2015

HUYU NDIO MNIGERIA ANAYETEGEMEA KUTAWALA SOKO LA SIMU LA AFRICA IKIWEZEKANA DUNIA NZIMA KWA KUTENGENEZA SIMU ZAKE NZURI ZENYE GHARAMA NAFUU

No comments:
 
Michael Akindele ni kijana Mnigeria mwenye umri wa miaka 30,akiwa Director na Mgunduzi wa        SOLO PHONE .
Simu hizi za SOLO ni za Smartphone ambazo inategemewa zinaweza kuteka soko la smartphone Africa nzima na Dunia kwa Technologia iliyotumika katika simu hizi.

SOLO PHONE ilizinduliwa mwaka 2012 na bado inaonekana kuteka soko siku baada ya siku toka kuanzishwa kwake kutokana na bei yake kuwa nzuri na Features zake kuwa poa zaidi.

Unaweza kupata simu hizi kwa Dollar Miamoja na hamsini($150) ikiwa inazaidi ya nyimbo milioni 20 zenye ubora wa hali ya juu pia Wametengeneza Application ambayo imesheheni Movies za kutosha ndani yake.
Kampuni hii kwa sasa ina simu za aina tatu iliyozitengeneza na zipo sokoni kwa sasa ambazo ni            SOLO S400,SOLO S410 na SOLO S500. ambazo zote zinatumia GOOGLE OS.na zinatumia
DATA BUNDLE YA BURE KWA MIEZI 12 TOKA KUNUNUA.

TEMBELEA WEBSITE YAO HII KUJUA ZAIDI.....http://www.gosolo.ng/


SOLO S400SOLO S410SOLO S500

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ