KIPIPITA - WIVU
Wivu ndio nyimbo ya kwanza ya Msanii huyu chipukizi wa Bongo Flava,Hii ikiwa Video yake ya kwanza ya nyimbo hiyo.Akionekana ni msanii ambaye anaonesha uelekeo mzuri wa kuwa Star soon kutokana na Mashairi yake kuwa mazuri.Chukua dakika zako 3 kuangalia Kichupa hiki.....
No comments:
Post a Comment