NCHI YA GHANA IMEANZA KUZALISHA MAGARI YA KISASA
Ni kupitia kampuni moja ya ndani ya nchi hiyo na wanatengeneza hadi vipuri muhimu vya magari hayo. Wakati wenzetu wamefika huko sisi hapa Tanzania hata kiwanda cha kutengeneza "TOOTH PICKS" hatuna!
Hapa kwetu kuna misitu kibao lakini tunaagiza meza na makabati kutoka Uchina.
Tuwaongeze CCM miaka mingine mitano tuone tunavyoendelea kurudi nyuma.
KUPANGA NI KUCHAGUA.
No comments:
Post a Comment