CHRISTIAN BELLA NA KOFFI OLOMIDE
Mwimbaji Christian Bella ameweka wazi kwa mashabiki wake kuwa amefanya collabo na mwimbaji wa muziki wa dance kutoka Kongo Koffi Olomide.
Picha tofauti zikionesha CHRISTIAN BELLA NA KOFFI OLOMIDE wakiwa studio katika maandalizi ya Single yao mpya inayotoka soon!!!
Hope they are going to kill it....
Kupitia Instagram yake aliandika "Tumemaliza kurecord audio na koffi Olomide, Asante Mungu".
No comments:
Post a Comment