CHRISTIAN BELLA & ALIKIBA
Walirekodi ngoma yao katika studio za Chidaz Record. Hiki ni kipande Cha nyimbo hii nimejaribu kukichezea kuunganisha ili nipate verse zao tuone nani zaidi hapa katika kipande hiki kwa upande wangu nimeona nyimbo kaliiii!!!!.Nyimbo kamili inatoka Kesho tarehe 12/11/2015.
Enjoy kipande hiki....
No comments:
Post a Comment