• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Friday, January 8, 2016

Huu ni ushindi wa kwanza kwa Mbwana Samatta kwenye Caf Awards.

No comments:
 
MBWANA SAMATHA....MBWANA SAMATHA....

Mchezaji Mbwana Samatta amepata ushindi wa kwanza kwenye tuzo za Glo Africa Awards 2015 ndani ya Abuja Nigeria. Ushindi huo ni kuwepo kwenye kikosi cha kwanza Africa ambapo Samatta ametajwa kwenye kikosi hicho. Tuzo hizo zimetolewa usiku wa January 7, 2016 kwenye ukumbi wa International Conference Centre, Abuja, Nigeria.
Abameyang pia amehusika kwenye kikosi hicho akiwa na Mbwana Samatta pamoja na wachezaji wengine.

hakika umetenda kile ambacho ni kiu cha watanzania......

HONGERA SANA KWA KUWA MCHEZAJI BORA BARANI AFRICA

kilele cha furaha yetu sisi watanzania wenzako  tunakusubiri nyumbani shujaa wetu shupavu.....

MUNGU MBARIKI MBWANA SAMATHA
MUNGU IBARIKI TANZANIA......
#ushindi 2020

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ