• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Friday, March 4, 2016

Tanzania yapanda Kiwango katika orodha ya Viwango vipya vya soka vya FIFA

No comments:
 
ZURICH, SWITZERLAND - OCTOBER 20:  The FIFA logo is seen outside the FIFA headquarters prior to the FIFA Executive Committee Meeting on October 20, 2011 in Zurich, Switzerland. During their third meeting of the year, held over two days, the FIFA Executive Committee will approve the match schedules for the FIFA Confederations Cup Brazil 2013 and the 2014 FIFA World Cup Brazil.  (Photo by Harold Cunningham/Getty Images)


















Kama ni mpenzi wa soka duniani basi list ya viwango vipya vya soka ulimwenguni ilitangazwa March 3,2016, FIFA imetangaza viwango hivyo vya FIFA na nchi ya Ubelgiji ambayo anacheza soka la kulipwa mtanzania Mbwana Samatta ipo nafasi ya kwanza ikufuatiwa na Argentina. Kwa upande wa Tanzania ipo nafasi ya 125 ukilinganisha na miezi miwili nyuma ilikuwa 126 huku kwa upande wa nchi za Afrika Mashariki Uganda imeendelea kuongoza kwa kushika nafasi ya 67 , Rwanda ipo nafasi ya 85 na Kenya ipo 103 ambapo kwa Afrika nzima Ivory Coast ndio wanaongoza huku kwenye list ya dunia wakishika nafasi ya 36.
Hii hapa ndiyo orodha ya Fifa ya mataifa bora Afrika Machi 3 2016:
1. Visiwa vya Cape Verde
2. Ivory Coast
3. Algeria
4. Ghana
5. Tunisia
6. Senegal
7. Misri
8. DR Congo
9. Congo
10. Cameroon
12

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ