Ni muda umepita tangu Jay Moe aachie wimbo mpya. Kawaida msanii anapokaa kimya kwa muda mrefu huwa kuna tegemeo fulani kwamba akirudi “mtamkoma”. Sasa suala la kumweka mtu kati msanii kama kapatia au la, ni la mashabiki. Ni lenu wasikilizaji.
Wimbo unaitwa Pesa Madafu. Usikilize hapa chini
No comments:
Post a Comment