• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Friday, July 8, 2016

Yemi Alade ft.Sauti Sol - Africa | Official Video

No comments:
 

Pamoja na matatizo lukuki inayokabiliana nayo, Africa bado ni sehemu nzuri. Na kwetu sisi watu weusi, Afrika ndio nyumbani. Ndio asili yetu. Na bila shaka umewahi kusikia kwamba asili ya ubinadamu ni Africa.Mkataa kwao ni mtumwa. Afrika bado ni mahali ambapo ubinadamu bado unatawala. Ni wazi yapo mengi ambayo tunahitaji kuyafanyia kazi. Afrika!
Hii hapa ni video kutoka kwa Yemi Alade katika wimbo Africa akiwa amewashirikisha Sauti Sol kutoka Kenya.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ