• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Thursday, November 10, 2016

Maandamano yazidi kushuhudiwa Marekani baada ya ushindi wa Trump

No comments:
 
- Ushindi wa Donald Trump unaendelea kupokea upinzani mkuu hasa kutoka kwa wafuasi wa   Clinton.
- Wafuasi wa Clinton waliingia kwenye mitaa ya miji mikuu ya Marekani wakipinga uteuzi wa Trump huku wakitaja Clinton kuwa ndiye rais.
Wananchi wa Marekani waliomuunga mkono Clinton, wa Democrat walimiminika mitaani wakiandamana uteuzi wa Trump kuwa rais.
Walichoma mabango na picha za Trump mbele mnara wa Trump. Walidai kuwa Trump si rais wao.
Haya ndio maoni ya wamarekani waliogadhabishwa na uteuzi wa Trump katika mitandao ya kijamii.


No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ