• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Friday, August 17, 2012

BAADA YA KIGOMA ALLSTARS INASEMEKENA MOROGORO ALLSTARS WATAFUATA

No comments:
 
Ni siku chache toka Kigoma Allstars watoe Hit song - LEKA DUTIGITE huku wakiwa na Back up ya kutosha toka Kwa ZITTO ZUBERI KABWE inasemekana Morogoro Allstars Watafuata chini ya Kiongozi wao AFANDE SELLE huku wasanii wengine wakiwa ni O-TEN,BELLE 9,DAYNA na wengine wengi,Fans Mkae Mkao wa kula.

CHINI NI NYIMBO YA KIGOMA ALLSTARS:

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ