• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Sunday, August 12, 2012

Drake avunja rekodi ya Jay-Z ya kuwa na nyimbo nyingi zilizoshika namba moja Billboard

No comments:
 
Akiwa na miaka 25 rapper wa Young Money Drake ameweka rekodi ya kuwa na nyimbo nyingi zaidi zilizoshika nafasi ya kwanza kwenye chart ya Billboard's R&B/Hip-Hop.
Kwa mujibu wa ripoti nyimbo kumi za Drizzy zimewapita rapper wenzie Jay-Z, Lil Wayne na Kanye West.
Amempita Jay-Z, aliyekuwa ameshikilia rekodi hiyo, Nyimbo hizo kumi ni zile alizofanya mwenyewe na alizoshirikishwa.
Hii hapa ni orodha ya rappers wenye nyimbo nyingi zilizoshika nafasi ya kwanza kwenye historia ya Billboard's R&B/Hip-Hop Songs chart:
Drake (10)
Jay-Z (9)
Lil Wayne (8)
Kanye West (6)
50 Cent (4)
Ludacris (4)
Nelly(4)

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ