• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Monday, October 15, 2012

bondia thomas mashali amgaragaza mganda kwa point

No comments:
 




bondia Thomas Mashali akiwa na mikanda yake ya ubingwa wa Tanzania pamoja na wa Afrika Mashariki na Kati.






BONDIA THOMAS MASHALI kushoto akioneshana uwezo wa kutupiana masumbwi na  MEDY SEBYALA wa Uganda wakati wa mpambano wao wa kuwania ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati,uliofanyika kwenye ukumbi wa Friends Corner,Manzese jijini Dar .Katika mpambano huo Mashali alishinda kwa Point.
Bondia Medy Sebyala akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na bondia Thomas Mashali wakati wa mpambano wao wa kugombea ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati. Mashali alishinda kwa point.
BONDIA THOMAS MASHALI kushoto akioneshana uwezo wa kutupiana masumbwi na  MEDY SEBYALA wa Uganda wakati wa mpambano wao uliofanyika kwa ajili ya kumbukumbu ya baba wa taifa Mashali alishinda kwa Point.
Bondia Medy Sebyala akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na bondia Thomas Mashali wakati wa mpambano wao wa kugombea ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati Mashali alishinda kwa point.
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Charles Kenyela kushoto akiwa amekinga ngumi huku akiwa na furahaa baada ya bondia Thomas Mashali kuibuka na ubigwa kwa kumpiga bondia kutoka Uganda wakati wa maadhimisho ya kumbukumbu ya baba wa taifa.
Bondia Thomasi Mashali akiwa na mkanda wake wa ubingwa wa Afrika Mashaliki katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali.
Mbunge wa Kinondoni Iddy Azani akiwa katika picha na Bondia Thomas Mashali baada ya kuvishwa ubingwa wa Afrika Mashariki.



No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ