• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Thursday, October 18, 2012

CHECK OUT:JUX VUITTON AFANYA VIDEO YAKE MPYA"NI SOO"

No comments:
 


Jux vuitton ni moja kati ya wasanii wanaofanya vizuri  hapa bongo hata nje Bongo land pia tunafahamu kwamba msanii huyu kwasasa yuko nchini China na tumeona anafanya vitu vizuri vya muziki kwa ajili ya mashabiki wake sasa bhana habari nyingine ambayo tumeipata ni kwamba mtu mzima Jux baada ya kuhusishwa katika collabo na chief racka huko nchini China.Sasa amefanya video yake mpya ambayo inakwenda kwa jina la "NI SOO"na hapo chini ndiyo dzain mtu mzima Jux  yupo na Queen wa video ya Ni soo wakiwa katika uandaaji wa video hiyo mpya.




No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ