• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Saturday, October 20, 2012

Rais Jakaya Kikwete Arejea Kutoka Oman

No comments:
 
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Jordan Rugimbana leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara alipowasili kutoka katika ziara rasmi ya siku nne nchini.

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Makamu wa Rais Dk. Mohamed Ghalib Bilal leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara alipowasili kutoka katika ziara rasmi ya siku nne nchini Oman.(Picha na Ikulu)

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ