• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Monday, October 15, 2012

RIHANNA AMETANGAZA ALBUM MPYA ‘UNAPOLOGETIC’

No comments:
 

Ni moja kati ya wasanii wanao hit na ngoma kali nzuri huyu si mwingine ni Rihanna.Msanii huyu ukiachana na mwaka huu baada ya kusambaza ngoma yake ambayo ilikuwa inakwenda kwa jina la Talk That Talk,Sasa amerudi na ujio mpya wa album yake ya saba ambayo ameipa jina la "UNAPOLOGETIC "dzain sasa wale mashabiki wa RiRi wakae tayari kwa ujio mpya wa album ya mwana dada RiRi.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ