• Instagram
  • Twitter
  • Facebook
  • Google+
  • RSS Feed

Monday, October 15, 2012

XMALEYA NA TIMBULO NI MARAFIKI WA KARIBU SANA KATIKA SANAA !!!!!!!!

No comments:
 

                                                                            XMALEYA
                                                                         Msanii TIMBULO

Natumai kila mtu anamjua msanii huyo na nyimbo zake zote ambazo kwa sasa zinafanya vizuri katika radio Station na Tv. Nikisema hivyo namuongelea msanii Timbulo,Ila kwa watu wanaomjua kwa wimbo wake wa "Domo Langu" ambao umekuwa ni gumzo kwa watu wengi ambao wanasema kuwa ameukopi wimbo huo (Copy and Paste) kwa Xmaleya. Ni baada ya Allstar Blog Kumtafuta msanii huyo na kuongea nae.Timbulo alikuwa na haya ya kusema,
 
 "Yeah kiukwel kazi imefanyika kwa kiwango cha hali ya juu sana na niliamua kufanya haya yote kutokana na maneno mengi yaliyosemwa juu ya nyimbo zangu mbili zilizopita kuwa nimekwiba "Timbulo alisema"
Bila kujua kwamba mimi na Xmaleya ni damdam na tulikuwa na mawasiliano ya muda mrefu sana na hivo ikabidi nifanye sauti na beat huku kwa mtu mzima Man Water nakisha kuwatumia Xmaleya ambao baadaye waliweka vocal zao na kunitumia demo ambayo tayar ninayo mkononi kwa sasa, kinachosubiriwa ni mixing tu ambayo Xmaleya watafanya na huku tutaifanya na Man Water kama kawa" Timbulo alisema."

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
© ALLSTARTZ.BLOGSPOT.COM 2012 - 2017 | ALL RIGHTS RESERVED | CODE + DESIGN BY: DMZ