Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Mazrui, akizungumza wakati
wa utiaji wa Saini wa kuitangaza Karafuu ya Zanzibar katika soko la
Dunia uliofanuika katika ukumbi wa Hoteli ya Grand Palace Malindi
Zanzibar, kushoto Mwakilishi wa WIPO Neema Nyrerere na Mwakilishi wa ITC
Jacky Charbounneau.
Mwakilishi wa WIPO Neema Nyerere akizungumza wakati wa utilianaji wa
saini hiyo wakati akiiwakilisha WIPO kusimamiaa kuitangaza Karafuu ya
Zanzibar katika Soko la Dunia,wkati wa utiaji wa saini hiyo iliosainia
na Waziri wa Biashara kwa niaba ya Serekali ya Mapinduzi Zanzibar.
Waziri
wa Biashara Nassor Mazrui akibadilishana mikataba na Mwakilishi wa ITC
jACKY Charbounneau,baada ya kusaini makabaliano hayo yaliofanyika katika
ukumbi wa hoteli ya Grand Palace Malindi.
Waziri
wa Biashara Masoko na Viwanda Nassor Mazrui, akisaini kwa niaba ya
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuitangaza Karafuu ya Zanzibar katika
soko la Dunia,
Mwakilishi
wa ITC Jacky Charbounneau, akizungumza wakati wa utilianaji wa saini
hiyo wakati akiiwakilisha ITC kusimamiaa kuitangaza Karafuu ya Zanzibar
katika Soko la Dunia,wkati wa utiaji wa saini hiyo iliosainia na Waziri
wa Biashara kwa niaba ya Serekali ya Mapinduzi Zanzibar. Picha na mdau
Othman Mapara
No comments:
Post a Comment