Naibu waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi,Mh PEREIRA SILIMA, akiweka shada la Maua kwa aliyekuwa kamanda
wa polisi mkoa wa Mwanza,Liberatus Lyimo Barlow mara baada ya kuzikwa
jioni ya leo kijijini kwao Kilema Kyou,Wilaya ya Moshi vijini Mkoani
Kilimanjaro,mara baada ya mazishi hayo kufanyika.Aidha mazishi hayo yamehudhuriwa na mamia ya wakazi wa mji huo, viongozi mbalimbali wa Serikali,
Viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama, Viongozi wa madhehebu
mbalimbali ya Dini pamoja na wale wa vyama vya Kisiasa hapa nchini.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Inspekta Jenerali Saidi Mwema akiweka shada la Maua kwa aliyekuwa kamanda
wa polisi mkoa wa Mwanza,Liberatus Lyimo Barlow mara baada ya kuzikwa
jioni ya leo kijijini kwao Kilema Kyou,Wilaya ya Moshi vijini Mkoani
Kilimanjaro,mara baada ya mazishi kufanyika.Aidha mazishi hayo yamehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali,
Viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama, Viongozi wa madhehebu
mbalimbali ya Dini pamoja na wale wa vyama vya Kisiasa hapa nchini.
Mke wa marehemu nae akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu mumewe
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini Inspekta Jenerali Saidi Mwema akiweka udongo
kwenye kaburi la Marehemu na kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa jiji la
Mwanza,Mhe.Eng. Evarist Ndikilo
Sanduku lenye mwili wa marehemu likiingizwa kwenye nyumba yake ya milele.
sehemu ya umati wa watu wakiwemo maofisa mbalimbali wa jesho la polisi.
Naibu
waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi,Mh PEREIRA SILIMA akitoa heshima zake
za mwisho mapema leo kwenye mazishi ya aliyekuwa kamanda wa polisi mkoa
wa Mwanza,Liberatus Lyimo Barlow kijijini kwao alikozaliwa Kilema
Kyou,Wilaya ya Moshi vijini Mkoani Kilimanjaro
No comments:
Post a Comment