skip to main |
skip to sidebar
SIKILIZA NA DOWNLOAD; NAVIO FT AY ,PAPITO,INOSS B ,MARTHA SMALLZ - ONE & ONLY RMX.
|
Navio |
Unakumbuka
story kuhusu Navio kufanya collabo na wasani wa Kenya na Tanzania
kwenye remix ya wimbo wake wa One and Only aliotaka uwe kwa lugha ya
kiswahili. Well Napenda ufahamu kuwa imekamilika remix hio na wasani
walio chaguliwa ni AY kutoka Tanzania , Papito, Inoss B na Martha
Smallz.Mwanzoni Navio alishindwa kuchagua afanye collabo na Sungura aka
Rabbit au Msanii wa Calif Records`Mejja'. Mwishoni ilibidi iwe wasanii
tofauti kabisa na wasio tegemewa kuwa kwenye wimbo huo.
Source | Sammisago
No comments:
Post a Comment